Romans 10:12-13

12Kwa maana hakuna tofauti kati ya Myahudi na Myunani, yeye ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao. 13 aKwa maana, “Kila mtu atakayeliitia Jina la Bwana, ataokolewa.”

Copyright information for SwhKC